Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2015

Wajibu Wa Mwananchi

Mwanamume hawezi kuwa mzalendo mwema kama yeye si bwana mwema (kwa mke wake) na baba mwema (kwa wanawe), kama yeye si mtu wa kuaminika katika shughuli zake, mwaminifu kwa marafiki zake, asiye mwoga mbele za adui zake, asiye na roho pungufu, akili pungufu, afya pungufu; hakuna kiasi kamili cha kujitolea kwa kazi za kiutawala ambao utalijenga taifa kama wajibu wa kinyumbani umetengwa, ama nidhamu kali ya majeshi ambayo pekee inawezahakikisha taifa limesimama imara ulimwenguni. Theodore Roosevelt (1883)